Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, November 11, 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 11/11/2013


 
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 11/11/2013.

[Mikoa ya Kigoma, Rukwa,Tabora na Shinyanga ]: [Mikoa ya Kagera, Mara na Mwanza ]:

Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vifupi vya jua
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Tanga, Dar-Es-Salaam na Pwani]:
[Mikoa ya Morogoro na Ruvuma]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya, Lindi na Mtwara]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Iringa na Mbeya]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
29°C
17°C
12:13
12:24
D'SALAAM
32°C
24°C
11:57
12:18
DODOMA
34°C
19°C
12:12
12:31
KIGOMA
29°C
20°C
12:37
12:54
MBEYA
30°C
14°C
12:17
12:44
MWANZA
26°C
18°C
12:28
12:37
TABORA
33°C
19°C
12:25
12:42
TANGA
30°C
22°C
12:00
12:17
ZANZIBAR
31°C
23°C
11:57
12:18

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa; kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani
ya Kaskazini na kutoka Mashariki kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.
Matazamio kwa siku ya Jumatano: 13/11/2013: Mabadiliko kidogo
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 11/11/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA

No comments:

Post a Comment