Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, November 27, 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 27/11/2013

 
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz


UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 27/11/2013.


 [Mikoa ya Kigoma, Shinyanga na Tabora]:
[Mikoa ya  Kagera, Mara na Mwanza]:
[Mikoa ya Morogoro Dar-Es-Salaam, Pwani  na Tanga]:
 [Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Iringa, Mbeya na Rukwa]:
[Mkoa wa  Ruvuma]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:





Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

  [Mikoa ya Lindi, na Mtwara]:
[Mkoa wa Singida]:


Hali ya mawingu kiasi, mvua katika  maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mkoa wa Dodoma ]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika  maeneo machache na vipindi vya jua.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
26°C               
15°C                
12:12
12:26
D'SALAAM
31°C           
23°C
11:55
12:21
DODOMA
32°C
20°C
12:11
12:33
KIGOMA     
26°C
20°C
12:37
12:55
MBEYA
25°C
15°C
12:16
12:46
MWANZA
31°C
18°C
12:28
12:39
TABORA
25°C
19°C
12:25
12:43
TANGA
31°C
24°C           
12:00
12:18
ZANZIBAR
33°C           
24°C           
11:55
12:21

  Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Mashariki kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani   ya Kaskazini                             na Kaskazini –Mashariki kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kusini
                                
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.  
                           
Matazamio kwa siku ya Ijumaa: 29/11/2013: Mabadiliko kidogo    
                                                                       
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 27/11/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.


 

No comments:

Post a Comment