Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, November 29, 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 29/11/2013

 
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz


UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 29/11/2013.

[Mikoa ya Rukwa, Kigoma na Shinyanga]:
[Mikoa ya  Kagera na Mwanza]:

Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya  maeneo machache na vipindi vifupi vya jua.
[Mikoa ya Mara na Tabora]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Tanga, Dar-Es-Salaam na Pwani]:  
[Mikoa ya Ruvuma, Lindi, na Mtwara]:
[Mikoa ya Morogoro, Iringa na Mbeya ]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:



Hali ya mawingu kiasi, mvua katika  maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Singida na Dodoma ]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
28°C               
14°C               
12:12
12:26
D'SALAAM
32°C           
17°C
11:55
12:21
DODOMA
33°C
19°C
12:11
12:33
KIGOMA   
31°C
21°C
12:37
12:55
MBEYA
25°C
14°C
12:16
12:46
MWANZA
29°C
19°C
12:28
12:39
TABORA
29°C
19°C
12:25
12:43
TANGA
32°C
24°C           
12:00
12:18
ZANZIBAR
30°C           
24°C           
11:55
12:21

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Mashariki kwa kasi ya km 20 kwa saa; kwa Pwani                                              ya Kaskazini  na kwa kasi ya km 10 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.
                             
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.  
                           
Matazamio kwa siku ya Jumapili: 01/12/2013: Mabadiliko kidogo    
                                                                       
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 29/11/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.


No comments:

Post a Comment