WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA
3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 30/11/2013.
[Mikoa ya Tabora, Kigoma na
Shinyanga]:
[Mikoa ya Mara, Kagera na Mwanza]:
[Mikoa ya Iringa, Mbeya
na Rukwa]:
|
|
.
Hali
ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua
|
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:
[Mkoa wa Ruvuma ]:
[ Morogoro Kusini]:
|
|
Hali
ya mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua
|
[Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Tanga,
Dar-Es-Salaam na Pwani]:
[Morogoro Kaskazini]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
|
|
Hali
ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo
machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Singida na Dodoma
]:
|
|
Hali
ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
|
ANGALIZO: ONGEZEKO LA MVUA LINATEGEMEWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA
MIKOA YA
LINDI, MTWARA, RUVUMA NA MAHENGE
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA
MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Kiwango
cha chini cha joto
|
Mawio
(Saa)
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
28°C
|
17°C
|
12:17
|
12:31
|
D'SALAAM
|
32°C
|
23°C
|
11:59
|
12:27
|
DODOMA
|
32°C
|
19°C
|
12:15
|
12:36
|
KIGOMA
|
28°C
|
20°C
|
12:40
|
01:02
|
MBEYA
|
30°C
|
18°C
|
12:19
|
12:53
|
MWANZA
|
28°C
|
19°C
|
12:32
|
12:44
|
TABORA
|
31°C
|
18°C
|
12:28
|
12:50
|
TANGA |
32°C
|
23°C
|
12:03
|
12:25
|
ZANZIBAR
|
31°C
|
23°C
|
11:59
|
12:27
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kaskazini Mashariki; kwa kasi ya km
10 kwa saa; kwa
Pwani ya
Kaskazini na kwa kasi ya km
20 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya
bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.
Matazamio kwa siku ya Jumatatu:
02/12/2013: Mabadiliko kidogo
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 30/11/2013.
Na: MAMLAKA
YA HALI YA HEWA TANZANIA.
No comments:
Post a Comment