Pages

Wednesday, November 6, 2013

UTATUZI WA MFUMO WA MATATIZO YA GARI KUPITIA AUTOBOSS v30, KIFAA KIPYA CHENYE TEKNOLOJIA YA HALI YA JUU SASA KIPO MJINI….



Mtaalam wa kifaa cha AUTOBOSS v30 Alphonce akisoma Ripoti katika kifaa hicho , na akipatikana maeneo ya Ada Estate
Hiki ndicho kifaa cha AUTOBOSS v30
 Mashine ya AUTOBOSS v30 inavyo fanya kazi katika Gari , hapa ikipima mifumo mbalimbali ikiwemo injini, Mfumo wa Hewa(AC) , Mfumo wa Breki (Break System) na ujazo wa matairi.


Fundi Uliza akionekana anasoma Ripoti katika kifaa cha AUTOBOSS v30 maeneo ya Mabibo



3-86 Solutions

Motto: "Do it right the first time"


3-86 Solutions inatumia AUTOBOSS v30 Diagnosis System, ambacho ni kifaa/mashine yenye teknolojia ya hali ya juu wa utambuzi wa tatizo la gari husika. Pia huweza kutambua uwiano halisi kiuweledi zaidi kutokana na aina ya gari (magari) zaidi ya 50 (50 makes) kutoka Ulaya, Marekani, Asia kwa mfano; Audi/Volkswagen, Mercedes-Benz, BMW, Volvo, Jaguar Land Rover, Chrysler, Ford, GM, Honda, Hyundai, Subaru, Suzuki, Isuzu, Nissan, Mazda, Mitsubishi, Toyota na kadhalika.


Kifaa hiki huweza kupima vitu vifuatavyo katika gari;

  •  Uendeshaji (Mfumo wa gia - Transmission, Distroniki - Distance Radar Sensor, Mfumo wa gari kielektronik)
  • Chassis (Ujazo wa tairi, Mfumo wa breki - Sensotronic Brake, Uwiano wa umeme)


  •  Body (Control Unit Adaptation, Actuation, Correction Programming, Initial Statup)


  •  Mfumo Hewa (Kiyoyozi - AC, Kipasha joto - Heater)


  •  Habari & Mawasiliano (Mfumo hisia wa kuegesha - Parktronic, Telematik, Spidometa ya Digitali Navigesheni, Redio, Video)



Kwa mawasiliano

Alphonce Michael

P. O. Box 63144,

Dar Es Salaam.

Cel 0715000029, 0763000290, 0686077334


 Kwa maelezo Zaidi juu ya Kifaa Hiki Bofya hapa Chini

No comments:

Post a Comment