VIDEO MPYA: INSPECTOR HAURUN FT. NANDY - SHARUBU ZA BABU
Baada ya kupotea sana kwenye game ya muziki wa kizazi kipya, msanii
Inspector Haurun amerudi tena kwa kuachia video ya ngoma yake mpya
inayokwenda kwa jina la Sharubu Za Babu.
Ambapo ndani ya ngoma hiyo Inspector amemshirikisha mwanamuziki Nandy.
Cheki video yenyewe hapa chini...
No comments:
Post a Comment