Baada ya kututangulizia kionjo cha video hii ambayo watu wengi walikuwa
wakiisubiri kwa hamu, sasa msanii Walter Chilambo ambae alikuwa ndie
mshindi wa EBSS 2012 ameamua kuachia kichupa chake kipya kabisa
kinachokwenda kwa jina la Mi Ni Wako.
Chukua dakika zako chache za kuweza kukitazama kichupa hiki hapa chini...
No comments:
Post a Comment