Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akimfariji Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara),
Philip Mangula wakati alipokwenda nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar
es salaam Novemba 27, 2013kumpa pole kufuatia kifo cha mwanae, Peter
Philip Mangula kilichotokea Novemba 26, kwenye hospitali ya Taifa ya
Muhimbili. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
WANANCHI WATEMBELEA BANDA LA TAA MAONESHO YA UTALII YA SWAHILI (S!TE 2024)
-
Meneja Biashara kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Harieth
Nyalusi akitoa maelezo kuhusu fursa mbalimbali zinazopatikana katika
viwanja v...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment