Wanachama
wa Simba wamemtaka Mwenyekiti wa Simba, Aden Rage kujiudhuru ifikapo
jumamosi baada ya hapo wao wanakwenda mjini Dodoma ili kumshinikiza
ajihudhuru.Wakizungumza katika ukumbi wa idara ya Habari Maelezo mchana
wa leo, Alhamis Desemba 5, 2013 walisema wamechoka na vituko vya
mwenyekiti wao maana kila wakimtaka aitishe mkutano mkuu amekuwa
akikiuka.
"Tunasema
hatumtaki Rage na Wambura wake maana kila siku yeye anavunja katiba
sasa asubiri maamuzi ya wanachama kama tutamfutia uanachama au
tutamuondoa kabisa madarakani,".CHANZO HABARI NA MATUKIO
TANZANIA YATUMIA MICHUANO YA AFCON 2025 KUUZA MAZAO YA UTALII
-
Na mwandishi wetu, Morocco
NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamad Hassan Chande (Mb), amesema
Tanzania inatumia fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (...
8 hours ago

No comments:
Post a Comment