Pages

Wednesday, December 11, 2013

HII NDIO YUMBA YA KIFAHARI YA MCHEZAJI GARETH BALE IMEPIGWA BEI UINGEREZA



1
Mkali huyu wa soka mwenye umri wa miaka 24 ambae ameihama Tottenham Hotspur na kujiunga na Real Madrid hivyo ameamua kuiuza nyumba yake ya vyumba vitano iliyopo Uingereza kwa £2.2million ili akaanze maisha mengine huko Madrid.



2
3 
Hii ndio ilikua sebule yake bwana Bale.
4
5
6
7

No comments:

Post a Comment