Pages

Friday, December 13, 2013

Ivo Mapunda asaini misimu miwili Simba Sc


Kipa Ivo Mapunda akitia dole gumba kwenye fomu za usajili za Simba SC baada ya kusaini usiku huu pembeni ya Katibu wa Simba SC, Wakili Evodius Mtawala kulia Ivo anasaini Simba SC, KIPA namba moja wa Tanzania, Ivo Philip Mapunda, usiku huu amesaini Mkataba wa mwaka mmoja na nusu kujiunga na klabu ya Simba SC ya Dar es Salaam, akitokea Gor Mahia ya Kenya.baada ya kung’ara akiwa na kikosi cha Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge mwaka huu.


No comments:

Post a Comment