Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua tanki la maji linalojengwa katika kijiji cha Itimu kata ya Iwindi Mbeya vjijini.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiongoza na mjumbe mmoja wa mabalozi wakati alipokuwa akielekea kufungua shina la CCM mjini Mbalizi
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akikabidhi kadi kwa mmoja wa wanachama waliojiunga na chama hicho wakati alipofungua moja ya matawi ya chama hicho mjini Mbalizi
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akionyesha kadi za wananchama waliojiunga katika tawi hilo
No comments:
Post a Comment