Ndugu
watanzania, nimelazimika kuusambaza kwa KUUATACH waraka huu wa siri wa
mawasiliano ya ndani ya chama baina ya mwenyekiti wa CHADEMA Taifa,
Katibu mkuu, na wanaoitwa wajumbe wa baraza la maamuzi la chama ambao
kwa kweli sijafanikiwa kuwafahamu.
Waraka
huu nimeuchomoa kwenye file la kazi za kila siku za ndugu HEMEDI SABULA
ambaye ni Afisa wa kurugenzi ya ulinzi na usalama wa CHADEMA MAKAO
MAKUU.
Ujumbe uliokuwepo ndani ya huu waraka ni wa kusikitisha sana kiasi kwamba nimeshindwa kuvumilia kuacha kuona watanzania wakiendelea kupotoshwa namna hii.
Tafadhali wanahabari sambazeni ujumbe huu ili watanzania wengi zaidi waweze kuendelea kutambua kinachoendelea ndani ya chama chetu.
Ninaomba niendelee kuficha jina langu kwa sasa
Niiteni mwanamapinduzi mzalendo.
Makao makuu chadema.CHANZO AUDIFACE JACKSON BLOG

No comments:
Post a Comment