Waziri
Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akizungumza kabla ya kuongoza harambee ya
kuchangia maendeleo ya wanawake na watoto iliyofanyika katika Kanisa Kuu
la Anglikana Dayosisi Mtandi Masasi, mkoani Mtwara jana. Jumla y Sh103
milioni zilichangishwa kwenye harambee hiyo. Kushoto ni Askofu wa
Dayosisi ya Newala, Patrick Mwanachiko na Askofu Mstaafu wa Dayosisi ya
Masasi, Oscar Mnung'u. Na Mpigapicha Wetu |
No comments:
Post a Comment