Kamishna
wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa(kulia)akipewa
maelezo ya jinsi Wafungwa wanavyopatiwa Huduma za Ushauri Nasaha na
Upimaji wa Virusi vya UKIMWI na Wataalam wa Afya wa Gereza Kuu
Ukonga(kushoto) leo Desemba 14, 2013 katika Maadhimisho ya Siku ya
UKIMWI Magerezani yaliyofanyika ndani ya Gereza Kuu Ukonga, Dar es
Salaam. Mdau
kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Madawa ya Kulevya
na Uhalifu(UNODC), Dkt. Edwin Swai akitoa Salaam katika Maadhimisho ya
Siku ya UKIMWI Magerezani yalifanyika leo Desemba 14, 2013 ndani ya
Gereza Kuu Ukonga Dar es Salaam(wa kwanza kushoto) ni Mdau kutoka Tume
ya Kuthibiti UKIMWI Tanzania(TACAIDS), Jumanne Issango na wa pili
kushoto ni Mdau kutoka Mpango wa Taifa wa Kuthibiti UKIMWI(NACP), Dkt.
Patrick Mwidunda. Kamishna
wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akikabidhi cheti
Maalum kwa Mmoja wa Wafungwa Waelimishaji rika kuhusu masuala ya UKIMWI
na Kifua Kikuu Magerezani leo Desemba 14, 2013 katika Maadhimisho ya
UKIMWI Magerezani ambayo yamefanyika ndani ya Gereza Kuu Ukonga. Kamishna
wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akitoa hotuba
fupi ya Maadhimisho ya UKIMWI Magerezani leo Desemba 14, 2013 kwa
Wafungwa wa Gereza Kuu Ukonga, Dar es Salaam( hawapo pichani).Wafungwa
Waandishi wa Habari wa kujitegemea wa Shirika la Habari la Utangazaji
la Taifa(TBC1) hawakuwa nyuma katika kuchukua matukio muhimu wakati wa
Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Magerezani yaliyofanyika Gereza Kuu Ukonga
Dar es Salaam leo Desemba 14, 2013( Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi
la Magereza).
Kikundi
cha Wasanii wa Mziki wa Kizazi kipya cha Wafungwa wa Gereza Kuu Ukonga
wakitumbuiza mbele ya Mgeni Rasmi( hayupo pichani) katika Maadhimisho ya
Siku ya UKIMWI Magerezani yaliyofanyika leo Desemba 14, 2014 ndani ya
Gereza Kuu Ukonga, Dar es Salaam. Kikundi hicho kinaongozwa na Msanii
Papii Kocha( wa tatu kulia)ambaye anatumikia kifungo chake Gerezani
Viongozi bora wanachaguliwa na wananchi waliojiorodhesha
-
Na. Dennis Gondwe, MWAJA, CHAMWINO
VIONGOZI bora wa serikali za mitaa wanachaguliwa na wananchi
waliojiandikisha katika orodha ya wapiga kura ili waweze...
31 minutes ago
No comments:
Post a Comment