Majeruhi 26 wa ajali ya basi la Urafiki wanaendelea vizuri
Katika ajali iliyotokea jana maeneo ya
Isimani ikilihusisha basi la Urafiki na kusababisha watu 26 kujeruhiwa
huku wengine watatu wakiwa katika hali mbaya ambao ni dereva, konda wa
basi hilo na abiria mmoja. Mpaka sasa majeruhi hao 26 wanaendelea vizuri
na bado wanapewa matibabu.
No comments:
Post a Comment