Wakuu
wa Wilaya za Kinondoni na Temeke, Mhe. Jordan Rugimbana (wa nne kutoka
kushoto) na Mhe. Sophia Mjema (wa tatu kutoka kushoto) wakiwa uwanjani
hapo wakati wa mapokezi ya Malkia Maxima. Wengine ni Balozi Dora Msechu
(kushoto), Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika katika Wizara ya
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bibi Victoria Mwakasege (wa
pili kutoka kushoto), Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika na
Bw. Songelaeli Shila, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa
Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. |
No comments:
Post a Comment