Mshindi
wa Kwanza wa Mbio ndefu za KM 42 katika Mashindano ya Uhuru
Marathon,Jamin Ikai (kutoka nchini Kenya) akiwasili kwenye viwanja vya
Leaders Club wakati akimaliza mbio hizo,zilizofanyika leo ikiwa ni
sehemu ya kuadhimisha Miaka 52 ya Uhuru wa Tanzania.
Mshindi wa Kwanza wa Mbio ndefu za KM 42 katika Mashindano ya Uhuru Marathon,Jamin Ikai akishangilia ushindi wake huo leo.
Mshindi wa Tatu wa Mbio fupo za KM 21,Elia Daud akishangilia wakati akimaliza mbio hizo.
Washindi
wa Mbio ndefu za KM 42 katika Mashindano ya Uhuru Marathon wakiwa
wamesimama mbele ya mgeni rasmi,mara baada ya kukabidhiwa zawadi
zao.Mshindi wa Kwanza ni Jamin Ikai (kutoka Kenya),Steven Selevestor
(kutoka Jeshi la Magereza Tanzania) pamoja na Aley Sanka (Tanzania).
Washindi
wa Mbio ndefu za KM 42 (wanawake) wakiwa wakiwa wamesimama mbele ya
mgeni rasmi,mara baada ya kukabidhiwa zawadi zao.Mshindi wa wa Kwanza ni
Thabita Kibet (kutoka Kenya),Naum Jerkosgei (Kenya) pamoja na Banoela
Brigton.
Washindi
wa Mbio fupi za KM 21 (wanaume) wakiwa wakiwa wamesimama mbele ya mgeni
rasmi,mara baada ya kukabidhiwa zawadi zao.Mshindi wa Kwanza ni Aliya
Tirot (Kenya),Wilson Titoe (Kenya) pamoja na Elia Daud.
Washindi wa Mbio fupi za KM 21 (wanawake) wakiwa wakiwa wamesimama mbele ya mgeni rasmi,mara baada ya kukabidhiwa zawadi zao.
Mgeni
Rasmi katika Maadhimisho ya Mbio za Uhuru Marathon,Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohamed Gharib Bilal akisalimiana
na Mratibu wa Mbio hizo za Uhuru Marathon,Innocent Melleck wakati
akiwasili kwenye Viwanja vya Leaders Club,Kinondoni Jijini Dar es Salaam
leo.Kushoto ni Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Dkt.
Fenella Mukangara.
Mgeni
Rasmi katika Maadhimisho ya Mbio za Uhuru Marathon,Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohamed Gharib Bilal akitoa hotuba
yake wakati wa maadhimisho mbio hizo zilizofanyika leo kwenye viwanja
vya Leaders Club,Kinondoni Jijini Dar es Salaam leo,ikiwa ni sehemu ya
kuadhimisha Miaka 52 ya Uhuru wa Tanzania. CHANZO MATUKIO MICHUZI BLOG
Waziri
wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Dkt. Fenella Mukangara akisoma
hotuba yake kabla ya kumkaribisha Mgeni Rasmi,wakati wa maadhimisho mbio
hizo zilizofanyika leo kwenye viwanja vya Leaders Club,Kinondoni Jijini
Dar es Salaam leo,ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Miaka 52 ya Uhuru wa
Tanzania.
Mkuu wa
Wilaya Temeke,Mh. Sophia Mjema akizungumza wakati wa maadhimisho ya mbio
hizo zilizofanyika leo kwenye viwanja vya Leaders Club,Kinondoni Jijini
Dar es Salaam leo,ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Miaka 52 ya Uhuru wa
Tanzania.
Mratibu
wa Mbio za Uhuru Marathon,Innocent Melleck akizungumza wakati wa
maadhimisho ya mbio hizo zilizofanyika leo kwenye viwanja vya Leaders
Club,Kinondoni Jijini Dar es Salaam leo,ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha
Miaka 52 ya Uhuru wa Tanzania.
Wadau
mbali mbali wakati kwenye maadhimisho ya mbio hizo zilizofanyika leo
kwenye viwanja vya Leaders Club,Kinondoni Jijini Dar es Salaam leo,ikiwa
ni sehemu ya kuadhimisha Miaka 52 ya Uhuru wa Tanzania.
Mmoja wa washiriki wa mbioa hizo akitoa salamu ya Kijeshi kwa Makamu wa Rais.
Washiriki Mbali mbali wa Mbio za Uhuru Marathon wakimaliza mbio hizo.
Wadau.
Ankal Hashim Lundenga pia alishiriki mbio hizo.
No comments:
Post a Comment