Pages

Thursday, December 12, 2013

Mkalimani wa lugha ya alama kwenye ibada ya mandela utata mtupu.


a-NELSON-MANDELA-SIGN-LANGAUGE-INTERPRETER-640x420 edd7b
Mkalimani wa lugha ya alama aliekuwa akitafsiri maelezo mbalimbali  pia hutuba ya Rais Obama kwenye Ibada maalumu ya hayati Mandela inadaiwa kwamba  hakutumia alama zinazo tambulika mahala popote Duniani, Jana kupitia kipindi cha Dira ya Dunia cha BBC kinachorushwa na kituo cha  Televishen cha star  TV cha Tanzania ilielezwa kwamba wataalamu wengi wa lugha ya alama walishangazwa na mkalimani huyo ambae kimsingi alikuwa haijulikani anaongea nini, uchunguzi zaidi unafanywa ili kubaini ukweli wa jambo hili.

No comments:

Post a Comment