Mwenyekiti
wa chama cha Mapinduzi CCm mkoa wa Morogoro Inocent Karogeries
akiongoza maandamano katika hafla ya mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel
Bendera na Naibu waziri wa ardhi nyumba na makazi Ole Medeye jana kutunukiwa shahada ya heshima ya udaktari
wa usanifu wa masuala ya kijamii (Docta of Philosophy in Humanity)
kutoka chuo kukuu cha kikristo cha Calfornia State cha Nchini Marekani
CSCU.
Mwenyekiti wa CCm Moro akifungua sherehe ya RC Moro
Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Morogoro Inocent Karogeries Akifungua sherehe ya
kutunukiwa shahada ya udaktari mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendara
na Naibu waziri wa ardhi , nyumba na makazi Medeye.
No comments:
Post a Comment