Pages

Tuesday, December 10, 2013

PICHA YA RAISI OBAMA KUPEANA MKONO NA CASTRO IMEZUA GUMZOOOO

Madiba 12
Rais Barack Obama wa Marekani akiwa anazungumza kwenye Mandelamemorial Johannesburg Afrika Kusini ambapo kabla ya kumiliki kipaza sauti alipita kuwasalimia viongozi mbalimbali waliokua karibu na alipokaa kabla ya kusogelea kipaza sauti.
Miongoni mwa aliowasalimia kwa kupeana mikono ni pamoja na Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini na Rais Castro ambapo hii ya kusalimiana na Rais Castro ndio imechukua headlines kwa sasa kutokana na historia iliyopo kati ya nchi hizi mbili.


madiba 11Madiba 13

No comments:

Post a Comment