skip to main |
skip to sidebar
Rais Dk.Shein Ashiriki maziko ya Jecha Thabit Kombo Chukwani
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein,akishiri na Vingozi na waislamu mbali mbali katika kumswalia
Marehemu Jecha Thabit Kombo, katika msikiti Masjid Nuru Muhammad, kwa
mchina, na kuzikwa Chukwani Wilaya ya Magharibi Unguja. [Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
Baadhi
ya wananchi walioshirki katika mazishi ya Marehemu Jecha Thabit
Kombo,wakilibeba jeneza wakati wa mazishi yake yaliyofanyika leo kijiji
kwao Chukwani Wilaya ya Magharibi Unguja.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein,(wa nne kulia) pamoja na Viongozi wengine wakiwa katika mazishi ya
marehemu Jecha Thabit Kombo,aliyezikwa kijijini kwao Chukwani Wilaya ya
Magharibi Unguja leo,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
TUNAOMBA BOFYAHAPA LIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI NA ZA KUSISIMUAAA(USIPITWEEE)
No comments:
Post a Comment