Hapa ndipo walipoingilia waliochoma ofisi ya CHADEMA mkoani Arusha
Na
aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA (Mboya) aliefukuzwa ndani ya chama na
kuhamia CCM miezi minne iliyopita ambaye kwasasa ni kiongozi ndani ya
CCM anashukiwa kuhusika na tukio hili kwasasa anatafutwa na polisi.
Mwonekano wa Ofisi ya chadema mkoa wa Arusha iliyochomwa moto baaada ya kuufanikisha kuuzima moto huo
Hii ndio hali halisi baada ya kuchomwa kwa ofisi ya CHADEMA Mkoani Arusha.
CHANZO: JAMII FORUM
No comments:
Post a Comment