Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, December 12, 2013

TAZAMA VIDEO::MZEE SMALL AKIONGEA KUWALAANI WALE WOTE WALIOMZUSHIA KIFO



 Jana usiku ziliibuka taarifa kwamba muigizaji maarufu na nguli Mzee small kafariki dunia,Taarifa hizo zilienea kwa kasi sana hasa kupitia mitandao ya kijamiii,lakini jana usiku huo huo mtandao wetu ulifanikiwa kuongea na mtoto wa kiume wa mzee small na akakanusha taarifa hizo.Hiyo hapo chini ni video ikimuonesha mzee small akiwa mzima wa afya na kuwalaani vikali wale wote walioeneza taarifa hizo za uongo.


No comments:

Post a Comment