Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, December 1, 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 01/12/2013

 
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz


UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 01/12/2013.


[Mikoa ya Tabora, Kigoma na Shinyanga]:
[Mikoa ya  Mara, Kagera, Rukwa na Mwanza]:


.
Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua

[Mikoa ya Tanga, Dar-Es-Salaam na Pwani]:  
[Mikoa ya Morogoro ,Lindi na Mtwara]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:



Hali ya mawingu kiasi na mvua katika  maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Iringa,  Mbeya  na Ruvuma ]:



Hali ya mawingu kiasi na mvua nyepesi katika  maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Singida na Dodoma ]:


Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
29°C               
17°C               
12:17
12:31
D'SALAAM
31°C           
22°C
11:59
12:27
DODOMA
33°C
19°C
12:15
12:36
KIGOMA   
27°C
19°C
12:40
01:02
MBEYA
27°C
15°C
12:19
12:53
MWANZA
28°C
19°C
12:32
12:44
TABORA
30°C
19°C
12:28
12:50
TANGA
32°C
23°C           
12:03
12:25
ZANZIBAR
30°C           
23°C           
11:59
12:27

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka  Kusini -Mashariki; kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa
                                   Pwani yote.
                             
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.  
                           
Matazamio kwa siku ya Jumanne: 03/12/2013: Mabadiliko kidogo    
                                                                       
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 01/12/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA


No comments:

Post a Comment