Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, December 11, 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 11/12/2013

 
WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz


UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 11/12/2013.
           

[Mikoa ya  Kagera, Shinyanga,Mara na Mwanza]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya  Iringa, Mbeya na Rukwa]:
[Mikoa ya Kigoma naTabora]:




Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika  baadhi ya maeneo na vipindi  vifupi vya jua

[Mikoa ya Dar-Es-Salaam, Pwani na  Tanga]:
[Mikoa ya Dodoma  na Singida]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Morogoro (Kaskazini)]:



Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika  maeneo machache na vipindi  vya jua

[Mikoa ya Ruvuma na Morogoro (Kusini) ]:
[Mikoa ya Mtwara na Lindi]:


Hali ya mawingu kiasi, mvua katika  maeneo machache na vipindi  vya jua

ANGALIZO: UPEPO MKALI UKIAMBATANA NA MAWIMBI MAKUBWA UNATARAJIWA KATIKA NYAKATI ZA USIKU
                KATIKA ZIWA VICTORIA HUSUSANI MIKOA YA KAGERA NA MWANZA.

VIPINDI  VYA  MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA  MIKOA  YA ARUSHA, KILIMANJARO NA MANYARA,KIGOMA,TABORA, KAGERA, MARA MWANZA.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
24°C                          
17°C               
12:21
12:35
D'SALAAM
32°C           
23°C
12:02
12:32
DODOMA
32°C
19°C
12:18
12:44
KIGOMA     
27°C
21°C
12:44
01:06
MBEYA
26°C
12°C
12:22
12:58
MWANZA
28°C
21°C
12:36
12:48
TABORA
28°C
19°C
12:32
12:54
TANGA
31°C
23°C           
12:07
12:29
ZANZIBAR
31°C           
22°C           
12:02
12:32

Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kaskazini-Mashariki kwa kasi ya km 20 kwa saa  kwa Pwani yote .

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo .  
                           
Matazamio kwa siku ya Ijumaa: 13/12/2013: Mabadiliko kidogo    
                                                           
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 11/12/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
 

No comments:

Post a Comment