Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, December 2, 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO TAREHE 02/12/2013

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
            TAREHE 02/12/2013.


[Mikoa ya  Mara, Kagera, Mwanza na Rukwa]: [Mikoa ya Kigoma, Shinyanga na Tabora]:

.
Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Dar-Es-Salaam, Pwani na Tanga]:  
[Mikoa ya Morogoro, Singida na Mtwara]:
[Mikoa ya Iringa  na Mbeya  ]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:


Hali ya mawingu kiasi na mvua katika  maeneo machache na vipindi vya jua.

 [Mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma]:


Hali ya mawingu kiasi na mvua nyepesi katika  maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mkoa wa  Dodoma ]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
ANGALIZO: MVUA KUBWA ZINATEGEMEWA KUENDELEA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA   MIKOA  YA KAGERA, KIGOMA, MARA, MWANZA, RUKWA, KATAVI, SHINYANGA NA TABORA

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
27C               
16°C               
12:17
12:31
D'SALAAM
32°C           
23°C
11:59
12:27
DODOMA
32°C
19°C
12:15
12:36
KIGOMA   
29°C
20°C
12:40
01:02
MBEYA
28°C
15°C
12:19
12:53
MWANZA
29°C
20°C
12:32
12:44
TABORA
32°C
20°C
12:28
12:50
TANGA
32°C
23°C           
12:03
12:25
ZANZIBAR
31°C           
24°C           
11:59
12:27
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 10 kwa saa kutoka  Kusini -Mashariki; kwa
                                Pwani yote.
                             
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.  
                           
Matazamio kwa siku ya Jumatano: 04/12/2013: Mabadiliko kidogo    
                                                                       
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 02/12/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.


No comments:

Post a Comment