Pages

Tuesday, December 10, 2013

UZINDUZI MPANGO WA KUCHANGIA ELIMU MAALUM K’NDONI


89580012 - Copy
Wanafunzi wenye Ulemavu wa kusikia(viziwi)pamoja na walimu wao wakiimba wimbo wa Taifa kwa kutumia lugha ya alama wakati wa uzinduzi Mpango  maalumu wa kuchangia wanafunzi wenye ulemavu katika Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam. Mitandao ya simu itakayotumika  ni M-Pesa namba 0768727314 na Tigo Pesa namba
89580013 - CopyMeya wa  wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda akizungumza kwenye uzinduzi  Mpango maalumu wa kuchangia wanafunzi wenye ulemavu katika Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam.Kushoto ni Afisa Elimu Manispaa ya hiyo, Hussein Ramadhani na Mganga Mkuu wa Manispaa hiyo aliye mwakilisha Mkurugenzi…. Mitandao ya simu itakayotumika  ni M-Pesa namba 0768727314 na Tigo Pesa namba89580016
Mwenyekiti wa Vitengo vya Elimu Maalum katika Manispaa ya Kinondoni,Lessly Nyambo akizungumza kwenye uzinduzi  Mpango Maalumu wa kuchangia wanafunzi wenye ulemavu katika Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam.89580018 - Copy
Meya wa  wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda akikata utepe kuzindua   Mpango maalumu wa kuchangia wanafunzi wenye ulemavu katika Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam kwa kutumia njia ya Mitandao ya simu za mkononi,M-Pesa na Tigo Pesa. Mitandao ya simu itakayotumika  ni M-Pesa namba 0768727314 na Tigo Pesa namba
89580019
Meya wa  wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda akionyesha simu za mkononi zitakazo tumika kuchangisha fedha kwa ajili ya   Mpango maalumu wa kuchangia wanafunzi wenye ulemavu katika Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam baada ya kuuzindua rasmi. Mitandao ya simu itakayotumika  ni M-Pesa namba 0768727314 na Tigo Pesa namba 0712200022.

No comments:

Post a Comment