Video: Trailer ya filamu ya kinyama aliyoigiza Baby Madaha 'Gal Bladder'
Muimbaji na muigizaji wa filamu nchini, Baby Madaha ameigiza
kwenye filamu ya vitisho, unyama, mauaji na ubakaji iitwayo Gal
Bladder. Filamu hiyo iliyofanyika nchini Kenya, imetayarishwa na Cand n
Candy Films ambayo yupo chini yake. Tazama trailer yake hapa.
No comments:
Post a Comment