Mkurugenzi
wa Udhibiti wa Huduma za Serikali Mtandao nchini Bw. Michael Moshiro
akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu upatikanaji wa taarifa
za serikali kwenye Tovuti Kuu Serikali. Amewaomba watanzania kuitembelea
tovuti hiyo ili wapate taarifa na huduma zinazotolewa na serikali.Kulia
kwake Mkurugenzi Msaidizi wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa Wakala
hiyo Bi. Suzan Mshekangoto.
Waandishi
wa Habari wakiwa kwenye Mkutano na watendaji wa Wakala ya Serikali leo
jijini Dar es salaam. Mkutano umelenga kuwahamasisha watanzania kuitumia
Tovuti Kuu ya Serikali inayopatikana kwa anuani ya www.tanzania.go.tz.
Picha na Aron Msigwa- MAELEZO
No comments:
Post a Comment