Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, December 13, 2013

WATU SITA WAPOTEZA MAISHA KWA KUFUNIKWA NA KIFUSI MKOANI KILIMANJARO


 Wananchi wakijaribu kufukua udongo ili kuopoa  miili ya watu walofukiwa na kifusi katika machimbo ya Moramu eneo la Pumwani wilaya ya Moshi vijijini huku wananchi wengine wakishuhudia
 Uongozi wa mkoa wa Kilimanjaro ukiongozwa na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama ukishuhudia zoezi la ukoaji wa miili ya watu hao.
 Juhudi za kuokoa waliofukiwa zikiendelea
 Gari aina ya fuso lenye namba za usajili T 167 AQG ambalo marehemu wa tukio hilo walikuwa wakijaza Moramu likiwa limeangukiwa na ngema iliyokatika na kusababisha vifo vya watu sita. Kwa picha zaidi zilizopigwa na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii  mkoa wa Kilimanjaro BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment