Pages

Sunday, January 26, 2014

AJALI YA LORI LA MAFUTA NA FUSO ILIYOTOKEA JANA USIKU KATIKA KITUO CHA GARAGE UBUNGO

 Fuso likiwa limedumbukia kwenye mtaro baada ya kugongwa na lori la mafuta hapo jana usiku katika kituo cha Garage Ubungo, Hakuna taarifa ya Mtu kupoteza maisha mpaka tunaondoka eneo la tukio.
 Baadhi ya wakazi wa eneo la Garage Ubungo wakishuhudia Ajali hiyo iliyotokea jana usiku mara baada ya Fuso kugongwa na lori la Mafuta
Wakazi wa Garage Ubungo wakiendelea Kushuhudia Ajali hiyo ambayo ilileta hadha kwa watumiaji wa barabara ya mandela ambapo ilibidi watumiaji wengine kutumia service road kutokana na ajali hiyo kuziba njia kama inavyoonekana katika Picha

No comments:

Post a Comment