Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, January 29, 2014

BALOZI MDOGO WA INDIA NA MWAKILISHI WA (WHO) WAMUAGA RAIS DK.SHEIN.


TA1A1050Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mdogo wa India anefanyika kazi Zanzibar Pawan Kumar,alipo fika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi kumuaga  Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi.[Picha na Ramadhan Othman IKulu.]TA1A1061Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na  Balozi Mdogo wa India anefanyika kazi Zanzibar Pawan Kumar,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi kumuaga  Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi.[Picha na Ramadhan Othman IKulu.]TA1A1171Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) anefanyia kazi Zanzibar Dk.Pierre Kahozi,leo alifika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga  Rais baada ya kumaliza muda wake wa Kazi.[Picha na Ramadhan Othman IKulu.]

No comments:

Post a Comment