Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, January 17, 2014

BALOZI WA NORWAY ATEMEBELEA WIZARA YA MAJI

IMG_0605Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe (katikati) akimsikiliza Baloziwa Norway (kushoto), Bi. Ingunn Klepsvik pamoja na maafisa wake na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa DAWASA, Archad Mutalemwa. IMG_0631Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe (kulia) akizungumza na Balozi wa Norway, Bi. Ingunn Klepsvik.
Balozi wa Norway, Bi. Ingunn Klepsvik, alitembelea Wizara ya Maji na kuonana na Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe.Balozi huyo alipata fursa ya kuzungumza na Prof. Maghembe kuhusu hali halisi ya sekta ya maji nchini na miradi mbalimbali ambayo Serikali ya Norway inafadhili.Bi. Klepsvik aliambatana na maafisa mbalimbali kutoka ubalozi wa Norway, huku Wizara ya Maji ikiwakilishwa pia na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Inj. Bashir Mrindoko, Kaimu Mkurugenzi wa Maji Mijini, Inj. Amani Mafuru na Mkurugenzi Mtendaji wa DAWASA, Archad Mutalemwa
 TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI MOTOMOTO(USIPITWEEEE)

No comments:

Post a Comment