Basi
la Allys toka arusha kwenda Mwanza limeacha njia na kuingia kwenye
mteremko wa mlima Sekenge. Kwa mujibu wa taarifa zilizopo break
zilifelI. Watu wote wametoka salama.
MWENYEKITI WA CCM DKT. SAMIA AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU CCM TAIFA
DODOMA
-
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 17 Januari 2025, ameongoza
Kikao c...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment