Pages

Thursday, January 9, 2014

BREAKING NEWss:BUS LA MTEI LA CHOMWA MOTO NA WANANCHI BAADA YA KUSABABISHA VIFO VYA WATU WATATU KWA KUWAGONGA

Hii ni habari mbaya kwa Taifa lenye sifa ya Amani Tanzania ila watu wake wamegeuka wanyama na kuchukua maamuzi mikonon.Leo asubuhi bus la kampuni ya Mtei toka Arusha limechomwa moto maeneo ya Njia panda mnadani singida baada ya bus ilo kugonga pikipiki yani bodaboda na kuua watu watatu Hapohapo.


TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE) 

No comments:

Post a Comment