Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, January 13, 2014

Dk.SHEIN AZUGUMZA NA RAIS WA VISIWA VYA COMORO.

TA1A9402
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais wa Comoro Ikililou Dhoinine,alipofika Ikulu ya Migombani Mjini Unguja leo,Rais  wa Comoro alifika nchini kushiriki katika sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar ambazo kilele chake kitafanyika katika Uwanja wa Amaan.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
 TA1A9410 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Rais wa Comoro Ikililou Dhoinine,alipofika Ikulu ya Migombani Mjini Unguja leo,Rais  wa Comoro alifika nchini   kushiriki katika sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar ambazo kilele chake kitafanyika katika Uwanja wa Amaan.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Rais wa Comoro Ikililou Dhoinine,alipofika Ikulu ya Migombani Mjini Unguja leo,Rais  wa Comoro alifika nchini   kushiriki katika sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar ambazo kilele chake kitafanyika katika Uwanja wa Amaan.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
TA1A9462
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na  Rais wa Comoro Ikililou Dhoinine,baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu ya Migombani Mjini Unguja leo,Rais  wa Comoro alifika nchini  kushiriki katika sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar ambazo kilele chake kitafanyika katika Uwanja wa Amaan.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment