ALIYEKUWA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, MHE. DKT. EMMANUEL NCHIMBI AKITOA NENO
FUPI WAKATI WA HAFLA FUPI YA MAKABIDHIANO RASMI YA OFISI KWA WAZIRI MPYA WA WIZARA
YA MAMBO YA NDANI, MHE. MATHIAS CHIKAWE(WA PILI KULIA). HAFLA HIYO IMEFANYIKA LEO
JANUARI 27, 2014 KATIKA UKUMBI WA MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI, JIJINI DAR ES
SALAAM.
No comments:
Post a Comment