Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, January 13, 2014

EAGLE ENTERTAINMENT CHINI YA MADAM YUSTER NYAKACHARA WATOA MISAADA KWENYE KITUO CHA WATOTO NA WAZEE WAISHIO KWENYE MAZINGIRA MAGUMU "MADALE ORPHANAGE CENTRE"

C.E.O Wa Eagle Ent madam yuster akionge na watoto na wazee wa kituo cha  madale

Madam Yuster akitoa msaadakwa mmoja wa watoto wa kituo hicho

Upendo wa dhati akionyesha kwa mmoja wa watoto wa kituo hicho
Kampuni ya Eagle Entertainment chini ya Madam Yuster Nyakachara wametoa misaada kwenye kituo cha MADALE "ORPHANAGE CENTRE" ikiwa ni moja ya njia ya kuonyesha upendo na kuwajali watu wanaoishi kwenye mazingira magumu.Misaada iliyotolewa ni pamoja na nguo,vifaa vya kuogea na vinginevyo.Akizungumza na mtandao wetu huu wa Dj sek Madame Yuster amesema ameamua kufnya hivyo kutokana na kuguswa na maisha  wanayoishi watoto na wazee katika kituo hicho,pia akongeza kuwa huuu ni mwanzo tu wa kusaidia jamii kwa kile wanachokipata.Ameomba watanzania kusaidiana ili tuweze kupunguza ukali na ugumu wa maisha katika jamii zetu.

TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)

No comments:

Post a Comment