Pages

Saturday, January 25, 2014

HABARI TOKA JESHI LA POLISI ARUSHA


 Mkaguzi Msaidizi wa Polisi ambaye ni Polisi Tarafa wa Muklati Elibariki Kileo akitoa taarifa kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Liberatus Sabas wakati wa makabidhiano ya kikosi kazi cha askari 15 watakaofanya kazi pamoja na wananchi wa Tarafa ya Muklati wilayani Arumeru. (Picha na Rashid Nchimbi wa Jeshi la Polisi Arusha)

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Liberatus Sabas akitoa elimu ya Polisi Jamii kwa viongozi, vikundi vya ulinzi shirikishi na wananchi wa Tarafa za Muklati na Enaboishu wilayani Arumeru. Picha na Rashid Nchimbi wa Jeshi la Polisi Arusha

No comments:

Post a Comment