Hans Van Der Plyum ameingia mkataba wa
kuinoa Young Africans kuanzia leo na moja kwa moja kesho mchana
ataungana na wachezaji wake waliopo nchini Uturuki kwenye kambi ya
mafunzo ya wiki mbili kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya
Vodacom na mashindano ya kimataifa baadae.
No comments:
Post a Comment