Pages

Wednesday, January 8, 2014

HAYA SASA MLIOAJIRIWA SERIKALINI HAYA NDIYO MAVAZI RASMI MNAYOTAKIWA KUVAA JIONEE HAPA


Muongozo wa mavazi kwa watumishi wa UMMA ambao naona pia unapply kwa wageni wano tembelea ofisi hizo. Je imewahi kukutokea umekwenda ofisi fulani ya UMMA ukarudishwa , kukatikaliwa kuingia na kuhudumiwa ofisini hapo sababu ya vazi lako?

No comments:

Post a Comment