Pages

Tuesday, January 7, 2014

HII HAPA: katiba ya CHADEMA ya mwaka 2006, isome kujua nani yuko sahihi na nani anakosea katika sakata lao


Sakata lenye kumhusisha mwanasiasa kijana maarufu nchini Zitto Kabwe dhidi ya chama chake cha CHADEMA, ndio habari ya mjini hivi sasa. Mengi yanasemwa, na ni wazi mengi pia yataendelea kusemwa, bila kujali matokeo ya kesi aliyoshinda mahakamani leo, maamuzi ya Baraza kuu la CHADEMA na mengine yoyote yale. Lakini wakati tukijadili haya kwa marefu na mapana, bilashaka tukihusisha zaidi hisia zetu, je tunafahamu katiba ya CHADEMA inasemaje kuhusu sakata hili? 
Isome hapa katika ya CHADEMA, kisha ujue ni upande upi uko sahihi na upi hauko sahihi.chanzo jukwaahuru

No comments:

Post a Comment