Pages

Monday, January 27, 2014

HILI NDIO JENGO LA TIGO LILILOZUA TAFRANI LEO JIJINI DAR BAADA YA KUTOKEA MTIKISIKO


Jengo lenye ofisi za Tigo lililopo Makumbusho, Dar limezua taharuki baada ya kusikika kishindo ndani na kuwafanya watu wote waliokuwemo kukimbilia nje!

Picha kwa Hisani ya Global Publishers

No comments:

Post a Comment