Kikao cha madiwani kilikuwa kifanyike kesho bila kuwepo dkt anatory aman lakini sasa tumepata document inayodaiwa ni zuio la mahakama kwa madiwani 9 kutoshiriki kikao hicho mpaka kesi ya msingi itakapoanza kusikilizwa feb 20,2014. aliyeweka pinagmizi mahakamani ni Chief Kalumuna diwani wa kata ya Kahororo ccm.
Hii inaweza kuvuruga kabisa mipango ya kumaliza mgogoro huo na ni kama kuchochea moto kwa petrol
napost zuio hilo kutoka mahakamani hivi punde.
TANZANIA NI NCHI INAYOHESHIMU DEMOKRASIA
-
Na Linda Akyoo -Moshi.
Ikiwa imebaki siku moja kuelekea uandikishaji wa wapiga kura katika Daftari
la Orodha ya Wapiga kura(Daftari la Makazi),Mkuu wa Mk...
36 minutes ago
No comments:
Post a Comment