Kikao cha madiwani kilikuwa kifanyike kesho bila kuwepo dkt anatory aman lakini sasa tumepata document inayodaiwa ni zuio la mahakama kwa madiwani 9 kutoshiriki kikao hicho mpaka kesi ya msingi itakapoanza kusikilizwa feb 20,2014. aliyeweka pinagmizi mahakamani ni Chief Kalumuna diwani wa kata ya Kahororo ccm.
Hii inaweza kuvuruga kabisa mipango ya kumaliza mgogoro huo na ni kama kuchochea moto kwa petrol
napost zuio hilo kutoka mahakamani hivi punde.
TAASISI YA MAMA ONGEA NA MWANAO YAFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI GWAJIMA
-
TAASISI ya Mama Ongea na Mwanao imefanya mazungumzo na Waziri wa Maendeleo
ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima
amba...
10 hours ago
No comments:
Post a Comment