Pages

Saturday, January 25, 2014

HOT NEWSS::NDEGE ILIYOMBEBA WAZIRI WA HABARI ZANZIBAR YAANGUKA PEMBA


clip_image002Ndege ya shirika la Zan Air imeanguka Pemba jioni hii ikiwa imebeba jumla ya abiria 19, miongoni mwa abiria hao pia alikuwamo Waziri wa Habari na Katiba wa Zanzibar, Mhe. Abubakar Khamis. Abiria wote wametoka salama.
(picha, maelezo: SufianiMafoto blog)
clip_image002 

No comments:

Post a Comment