kwanza
mtu unachoweza kujiuliza ni aliwezaje kujulikana ameruka umbali huo na
kuwa amefika Peru na Kurudi UK, right? Ndege huyo alifungwa kifaa maalum
(tracking device) kwenye mgongo wake, kilichorekodi taarifa hizo.
Ndege
huyo ‘red-necked phalarope’ ambaye inasemekana ni adimu kuonekana
alivunja rekodi kwa kusafiri urefu wa maili 16,000 kutokea visiwa vya
Shetland huko Scotland hadi Peru na kurudi akiwa salama.
Malcolm
Smith wa RSPB alisema, ‘To think this bird, which is smaller than a
starling, can undertake such an arduous journey and return safely to
Shetland is truly extraordinary.’
Kifaa kilichorekodi umbali wa safari ya ndege huyo
Aliongeza
kuwa “When this guy left Shetland, he headed west straight across the
north Atlantic, via Iceland and Greenland. ‘He went down the eastern
seaboard of North America into the Caribbean, crossed into the Pacific
where he wintered in the warm waters of Ecuador and Peru before
returning back by more or less the same route.”
No comments:
Post a Comment