Pages

Tuesday, January 21, 2014

IGP MPYA AJITAMBULISHA KWA RAIS WA ZANZIBAR

IMG_0102Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Elnest Mangu,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_0114Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Elnest Mangu,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
 TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI MOTOMOTO(USIPITWEEEE)

No comments:

Post a Comment