Pages

Wednesday, January 8, 2014

JUMUIYA YA DARAJA FONDATION YENYE MAKAO MAKUU YAKE CANADA YAJITAMBULISHA ZANZIBAR.

01 Mkurugenzi mtendaji wa Daraja Fonndation Bi. Arsheen Dhalla yenye Makao Makuu yake Canada akiitambulisha Jumuiya yao inayojishuhulisha na sekta ya Afya, Elimu na Watoto mayatima katika hafla iliyofanyika Hoteli ya Amore Mio Mjini Zanzibar.

TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)
04Afisa wa Afya wa Daraja Fonndation Bwa. Ahmed Said Suleiman akielezea jinsi ya Jumuiya yao inavyofanya kazi zake hapa Zanzibar katika sherehe iliyofanyika Hoteli ya Amore Mio Mjini Zanzibar.(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).

No comments:

Post a Comment